Alhamisi, 15 Machi 2018
Kwa wasichana Fanya haya ili uweze kuolewa
D E A R L A D I E S
1. Ngono haimfanyi mwanaume asikuache, hata ukukuruke vipi, jikwatue kiasi gani kama hajaona quality za kuwa mke atakuacha tu.
2. Mwanaume anaekupata kwa vile alitumia pesa zake kwako hatakaa na wewe milele Wanaume halisi hawawezi wakatoka na wanawake feki wanaopenda pesa Ukibahatika sana atakufanya daraja la pili yaani mchepuko!
3. Uzuri wa mwanamke unaweza ukampelekea akaolewa ila tabia yake ndio itakayoamua ni kwa muda gani atadumu katika ndoa Uzuri huvutia wanaume, ila tabia hufanya wanaume wadumu na wewe.
4. Pesa kiukweli ina faida sana na ni muhimu kwa mtu yoyote kuwa nayo ila pesa peke yake haiwezi kuleta ukweli wa maana halisi ya furaha na maisha.
6. Kuwa mzuri bila tabia njema hakuwezi kukakupa mume bora, sana sana utapata Boyfriends na wanaume za watu.
6. Tendo la ngono linaleta faraja ila haliwezi kuleta upendo Tendo la ndoa ni zao la mapenzi, mapenzi sio zao la Tendo la ndoa.
7. Tendo la ndoa inaweza kufanya mwanaume alale na wewe usiku kucha, na asubuhi akaondoka zake ila upendo hufanya mwanaume aishi na wewe daima.
8. Kuna mambo mengine pesa haiwezi nunua kama tabia na heshima, kama ulikubali kuolewa nae kisa pesa zake. Usidhani kupitia pesa zake ataweza badilika.
9. Uvaaji wako siku zote ndio utakaoamua ni nini wanaume wazungumze na wewe!
Ukipata mwanamke kama hata kosoa vema itakusaidia kuwa na maisha mazuri
Share
Like Page
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
-
LECTURE 4: EARLY COMMUNITY FORMATIONS: THE INTERIOR TO 11TH CENTURY Main Sources: 1. C.Ehret, The East African Interior” GHA, Vol 3,...
-
https://soundcloud.com/ kamwela-fanaka/alikiba-mvumo-wa-rad </ a>
-
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM DEPARTMENT OF HISTORY AND ARCHAEOLOGY Salvatory Stephen Nyanto B.A (Hist & Arch) (Hons), M.A (History), ...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni